T Tony Laurent JF-Expert Member Joined Jan 5, 2011 Posts 6,423 Reaction score 8,367 Apr 17, 2013 #1 Nimesikia kuwa kuna watu wanatengeneza mishumaa ambayo ina uwezo wa kufukuza mbu. Naomba mwenye taarifa zozote kuhusiana na suala hilo anijuze. Ningependa kuinunua ili nijaribu, je, inapatikana wapi?
Nimesikia kuwa kuna watu wanatengeneza mishumaa ambayo ina uwezo wa kufukuza mbu. Naomba mwenye taarifa zozote kuhusiana na suala hilo anijuze. Ningependa kuinunua ili nijaribu, je, inapatikana wapi?
Seto JF-Expert Member Joined Jan 15, 2011 Posts 953 Reaction score 57 Apr 17, 2013 #2 umeshajua na adhari zake pia kwa afya yako?