Kiko poa
Hahaha mwenyewe nimeicopy tu huko fesibuki
This one!!!, me likeyyy!!
Tunaruhusiwa ku copy lakini?!
Tusije chambwa Insta na mafundi tu..
Mbona ninyi hampendi kuwavisha watoto wa kiume mtoke nao out?
This one!!!, me likeyyy!!
Tunaruhusiwa ku copy lakini?!
Tusije chambwa Insta na mafundi tu..
Haya sasa, wale wapenzi wa vitu vizuri, wasiopitwa kwa lolote kwa chochote tupieni jicho hapo. Mishono haibagui, mnene wala mwembamba.
Pia usiwe mchoyo kushare ili nasi
tufaidi.
Pendeza kwa muonekano mzuri, pia mfurahishe baba chanja ili asikate kiu ya matamanio juu yako.