Mishkaki adimu.....!!!

Nielekeze kwenye hilo eneo mkuu!
Sina uhakika kama bado ipo....palikwa pana-bang sana 2012-15 baadae pakaanza kuwwa hovyo hovyo nishaacha kwenda. Ukifika coco beach uliza tu kwenye kiti moto wapi. Sehemu ingine hapo inauza mishkaki ya fillet hio ipo na ni mizuri hadi kesho!
 
Ni kweli kabisa saivi haipatikan
Palikuwa pazuri sana...unapata kitimoto ya kuchoma au ile ya masalo au mishkaki huku unaburudika na karaoke na watoto wa kumwaga! Sijui kwanini wameacha ile sehemu imekjifia!
 
Palikuwa pazuri sana...unapata kitimoto ya kuchoma au ile ya masalo au mishkaki huku unaburudika na karaoke na watoto wa kumwaga! Sijui kwanini wameacha ile sehemu imekjifia!
Those were the days mkuu nime remenisce miaka hiyo daah
 
Special for Kasie



Karibu!

Aaahahahahahhahahahahahaaa weeweeeeee aachaaaaa hiiyoooooo
Nakwambiaaa hiiyooo waaachaaaaaa....... heheheheheh hehehehe

Azarel mzigo huo ushatua ngoja nichukue mgorole wangu nisogee maeneo.

Oolaalaai iiyeee. ..... endelea kuimba basiiii hahahaa

Ashenaleeh Login17 hapa kisima kiko mnaraa hahahahhahahahaaa eeh huwa kinasimama heheheh

Ever Smiling Kasie.
 
Karibu pande hizi tule wote basiii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…