Translator
JF-Expert Member
- May 19, 2017
- 286
- 297
Asante mkuu Jose, the early bird.Amazing Fact mkuu...
Barikiwa kwa somo
Ni chache au nyingi sana mkuu?Huu ni uhongo. Km 96 elfu????????
Poapoa mtaalamu wa lughaAsante mkuu Jose, the early bird.
Ni chache au nyingi sana mkuu?Huu ni uhongo. Km 96 elfu????????
Ulitaka kusema Uongo au?Huu ni uhongo. Km 96 elfu????????
Ni chache au nyingi sana mkuu?Huu ni uhongo. Km 96 elfu????????
Kumbe nimekosea? Asante kwa kunisahihishaUlitaka kusema Uongo au?
Pamoja mkuuPoapoa mtaalamu wa lugha
Nyingi saaaaaaana.Ni chache au nyingi sana mkuu?
Ni kweli kabisa mkuu. Ndio maana maandiko yanasema --- nimeumbwa Kwa jinsi ya ajabu ya kutisha. Haya ni mambo unayoweza tu kuya-google na ukayapata.Nyingi saaaaaaana.
absolutely, infinitely greatGOD IS GREAT
Sina uhakika kama kuna sababu yoyote maalum ya kuwapo damu nyingi upande mmoja Kaisari . Kuhusu upande waliogeukia, japo vidole gumba viko nje, ungeweza kusema ametugeuzia mgongo, lakini si lazima. Kwa hiyo, si rahisi kujua kwa hakika.Huyo mtu aneangalia huku au ameangalia kule ? Na jee mbona mkono mmoja wa kushotobkwa sasa unaonekana kuwa na damu nyingi kuliko mkono wa kulia kwangu.
Nifafanulie