Mishindo miwili kwa usiku mmoja

Mwili unajitengeneza wenyewe,ni nafasi yako yako kutimiza ndoto zako pasipo kuingiliwa na masuala ya mapenzi especialy kama unasoma. Enjoy tu
 
Sio majini wala nini ni ukame tu wa demu. Ili usijichafue tena kabla ya kulala jipuchue bao moja au nunua changu piga kimoko unalala fresh kabisa kama kuota utaota mambo mengine kabisa kama mpira au unakimbizwa na mbwa ila sio ngono
 
Weee mkuu umenikumbusha kuna siku nimeota kuna mtoto ninae lakini hiyo ndoto sikuifatilia, inaweza kuwa nimezaa na jini wakati huo mi sijui..
Lakini pamoja na hayo YESU yupo atanitetea.
Jaribu kuitafakari kwa kina na ikibidi fanya Sana maombi hii Dunia Ina Mambo mengi Sana mkuu.
 
Kama huna dem tafuta kama hupendi madem kwa muda uo angalau piga nyeto walau mara moja kwa wiki
 
Ni hali ya kawaida tu, ya kibaiolojia, hasa kama una muda mlefu hujafanya mapenzi
High level of testosterone......A sign of good sexual health
Hiyo ni hali ya kawaida, ndo njia Mungu alitupatia wanaume kutoa mbegu zilizozeeka na kuruhusu nafasi ya mbegu mpya. Kama hujaona na si mzinifu hali hiyo itakutokea mara moja au mbili kwa mwezi. Nikama ilivyo hedhi kwa wanawake Kama hajabeba mimba, yai lilulozeeka hufa na kutoka nje kwa njia ya damu kuruhusu yai jipya kushuka. Hakuna cha jini mahaba wala Nini. Jitunze vizuri wala usingie mtego wa master usije kujuta. Si wote bangi au pombe inawapenda same kwa master
Nice comments
 
kama haikutokei mara kwa mara, hizo sio nguvu za giza, una kupururu cha kutosha, epididymis imejaa..tafuta manzi au kula nyeto mara moja moja..
 
Back
Top Bottom