Mishindo miwili kwa usiku mmoja

Mishindo miwili kwa usiku mmoja

Genye hizo zimezidi mkuu

Tafuta manzi uruke nae faster otherwise utakuja kubaka uje kuishia jela bure
 
Mkuu usipostuka kupiga maombi tegemea kupata uzao kutoka Kwenye mashetani au majini.

Sperms zako zinatumiwa na mapepo ipo siku zitakuja kuzaa kiumbe/viumbe vya mchanganyiko wa pepo na binadamu.
 
Sasa unauliza tena .. Tafuta manzi haraka ndugu usije kupata kesi bure

Wenzio wanafuga kuku/ng'ombe wapate kula nyama wewe unafuga genye !!!!
Mhh! Kweli maana uroto umekuwa mwingi.
 
Mkuu usipostuka kupiga maombi tegemea kupata uzao kutoka Kwenye mashetani au majini.

Sperms zako zinatumiwa na mapepo ipo siku zitakuja kuzaa kiumbe/viumbe vya mchanganyiko wa pepo na binadamu.
Weee mkuu umenikumbusha kuna siku nimeota kuna mtoto ninae lakini hiyo ndoto sikuifatilia, inaweza kuwa nimezaa na jini wakati huo mi sijui..
Lakini pamoja na hayo YESU yupo atanitetea.
 
Hiyo ni hali ya kawaida, ndo njia Mungu alitupatia wanaume kutoa mbegu zilizozeeka na kuruhusu nafasi ya mbegu mpya. Kama hujaona na si mzinifu hali hiyo itakutokea mara moja au mbili kwa mwezi. Nikama ilivyo hedhi kwa wanawake Kama hajabeba mimba, yai lilulozeeka hufa na kutoka nje kwa njia ya damu kuruhusu yai jipya kushuka. Hakuna cha jini mahaba wala Nini. Jitunze vizuri wala usingie mtego wa master usije kujuta. Si wote bangi au pombe inawapenda same kwa master
Asante kwa ushauri konk, na ubarikiwe.
 
Hao wanaokuambia habari za mapepo wanakudanganya mkuu,, hio ni hali ya kibiologia tafuta demu sasa uchakate mbunye
 
Hio ni hali ya kawaida kijana vijana mwili unachakata kilichozalishwa tangu ulipozaliwa wala si pepo wala nini, Ukiujua ukuaji wa binaadam hutadanganywa na wachumia tumbo, Hapo mtu anakuambia ni pepo la ngono, unajiuliza Sasa wewe kama kijana unaachaje kuwa na tamaa za ngono wakati ndio wakati wako huo.
fanya mazoezi
 
Back
Top Bottom