Bin Shaib
JF-Expert Member
- Aug 1, 2019
- 1,349
- 1,223
Habari zenu wana jukwaa, natumai hamjambo nyote na munaendelea kupambana na majukumu. Mimi kwa upande wangu pia namshukuru Mungu kwa kuniwezesha pumzi bila gharama yoyote. Mungu ni mwema wakati wote.
Maada..
Wapendwa wa Mungu hiki kitu kimekaaje?
Ilikuwa usiku wa tarehe 3-8-2020
Wakati nikiwa nimelala niliota ndoto nyevu, nilistuka nikajikuta nimechafuka ile mbaya,, nikaamka nikajifuta nikalala.
Baadae tena usiku huohuo nikajimalizia tena usingizini,, nikastuka tena nikajikuta mapaja yote yamechafuka,, kama kawaida nikajisafisha na kukaa kidogo nikiwaza,kulikoni hii hali inanitokea?
Nakumbuka kuna miaka nyuma Ilishawahi kunitokea hii ya kupiga bao mbili usingizini,,.
Note:
:Sijaoa nina miaka 24
Je, hii ni kawaida na nyie wadau ilishawahi kuwatokea.
Bin Shaib Classic 2020.