Pascal500cc
Member
- Jul 15, 2013
- 8
- 1
HIVI NI SABABU zipi zimepelekea kuchelewa kwa mishahara ktk hizi HALMASHAURI?... nasikia vimaneno ooh CRDB ndo wamechukua Dhamana ya kuandaa pesa toka hazina afu ndo ziende NMB... sasa wameboresha au ndo wanaharibu?