Mishahara ya watangazaji wa Redio

usishangae mkuu umbea skuizi ni ajila (shilawadu)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jana nilipita huko YouTube kucheck ile video ya TL anavyoitoa serikali jasho nilivyomaliza kuangali ikaja hiyo video ya huyo Dada nadhani alikuwa na mahojiano/story na yule Dada wa tabora, igunga aliyeimba nyimbo ile nakomaa na jiji kwa kweli yule Dada wa mawingu anatembea mzigo kichwani bila yeye kujua.
 
Kuna siku nilikua pale 777 club wakati huo ndo nimetoka darfull mission, nikakutana uso kwa uso na Aunt Ezekiel.... Nikajiuliza hivi huyu nikimtandika na $ 500 atachomoa kweli??? Baadae nikaamua kuondoka zangu tu kurudi home

Jipige kifuani mara tatu af sema wewe ni Genius na Mungu anakupenda sanaa...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…