muoneni mpuuzi mwingine huyu aliyekaa kwenye utumishi zaidi ya miaka kumi hajafanya lolote la maana sasa ana msongo wa mawazo watu hapa wanajadili kipi kimetokea yeye anakuja na mada ccm siijui nini acha ujinga wewe ccm tasisi tu hata akijja nani bila mipango maisha yatakupiga tu.
Wewe unashinda kujua uhusiani kati ya ccm na mishahara we vipi kwani chama kinachoendesha dora saivi ni kipi, mishahara ikiwa minono tutawapongeza ikuwa ivyo wao ndo wahuska...we ndo ovyo unaeshindwa kjua kama unga ndio matokea ya ugali
sijui ninini? kwani wilaya ya ngorongoro mishahara imeingia nusu na wengi wao hawajapata ingawa tayari wapo kwenye pay roll. wengi wanasema kwasababu imetoka hazina direct hebu wenye uelewa zaid watujuze