Mishahara ya walimu

salehe93

Member
Oct 8, 2012
10
0
Habari wana Jf. Jamani naomba kwa yeyote anayejua mshahara wa walimu wa shule za msingi anijulishe,
 
jaribu kuonana na mwalimu wa s/msingi, naamini atakusaidia vizuri tu ili upate angalau picha
 
Mishahara ya walimu inalipwa kwa scales kulingana na madaraja zinaitwa TGTS sasa wewe sijui mwalimu daraja la ngapi? Funguka usaidiwe.
 
onana na walimu wahusika watakuambia kwani kuna madaraja katika mshahara kwaio ukionana nao watakuelekeza vizuri.
 
We nae n miongon mwa wasomi wapumbavu mikataba umesain mwenyewe huko haf xaiz nsaidien kunambia mshahara wng my friend try to be serious bana, kwn wakat unatia sahihi ulisain sh ngap ??uliza v2 loguc bana kwnza mshahara n siri y mwajiliwa mwenyewe mna2jazia threads zixizokua na maana
 
Mishahara inatolewa kulingana na elimu ya mtu.na elimu hiyo ndio inakuweka wewe kwenye daraja la mshara daraja a had juuzaid nakuende
 
Co kwamba nimeuliza hilo ati nimwalimu, nilikua nataka nijue tu! Kama ningekua ni mwalimu si ningefahamu mshahara?
 
fungua hapa anza kwenye TGTS "A na B" ni za walimu wa msingi.

kwa kuwa ulitaka msingi ujue pia sekondary ambao dip na degree wanaanza na c++
 
Back
Top Bottom