Si kwelikuna baadhi ya mikoa wamepata mpk wa desemba
Onana na mkuuWadau salama?
Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa mfukoni hadi natamani nirudi home kwanza nipunguze ukali wa maisha.
Nenda faster kwa afisa utumishi ili akuingize kwenye payroll.Usipofanya hivyo baada ya tarehe kumi mwezi ujao,na mwezi ujao hupati kitu.Wadau salama?
Walimu wale tulioajiliwa kipindi cha kampeni za uchaguzi kuna ambaye kaingiziwa pesa za january? Maana Desemba ilikuwa hakuna kitu na january kwangu hakuna kitu afu sina hapa pesa mfukoni hadi natamani nirudi home kwanza nipunguze ukali wa maisha.
Bado tu nenda kwa afisa utumishi.Cheki namba ninayo toka mwezi wa 12 mana nilimaliza process zote kabla ya tarehe 5 mwezi wa 12