Sungurampole
JF-Expert Member
- Nov 17, 2007
- 984
- 205
Hii inanikumbusha swali la yule kijana wa(form I) Ukerewe kwa aliyekuwa waziri Mkuu wakati huo: Mnapotuhamasisha tusome mbona tunaona mkipeana tu mlundikano wa vyeo?
Sasa najiuliza hivi viongozi wenye vyeo viwili au zaidi wanalipwa mshahara kwa kufuata uataratibu upi? Mfano ni mbunge anapokuwa waziri au mkuu wa mkoa.
Sasa najiuliza hivi viongozi wenye vyeo viwili au zaidi wanalipwa mshahara kwa kufuata uataratibu upi? Mfano ni mbunge anapokuwa waziri au mkuu wa mkoa.