Mishahara ya Serikalini hii hapa

Mishahara ya Serikalini hii hapa

mberege rukiko

Senior Member
Joined
Jul 19, 2016
Posts
171
Reaction score
137
Wana jf kwa anayejua viwango vya mishahara serkalin nisaidieni hz TGS C, TGS B, TGS A.. Nk ndio sawa na sh ngp...?
680663379959049a07cd4c5266e5d1a1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu naye msomi au vipi? Kichwa cha habari na maelezo haviendani kabisa.
 
Mishahara ya watu ni Siri, na kila idara ina viwango vyake. Hizo grade A, B, C etc zinatofautiana kada 1 na nyingine. Ila tu kukusaidia B ni km 390,000/=, A ni ndogo kidogo na C ni kubwa kidogo
 
Nilipoona ni kazi za wahandisi nikabaki nashangaa, how come mhandisi au fundi mchundo ushindwe kuandika mada ukiwa umetulia?! soma heading alafu soma mada utaelewa nnachomaanisha!

Kila la heri.
Asante kwa kuja sasa unazan uhandisi ndio uhandishi yote kwa yote hujui kinachoulizwa nadhan pía hujaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mi nilijua umeweka mishahara ambayo watumishi wa serikali wanalipwa! Lkn kila sector ina muundo wake wa mshahara, mingine ni midogo sana aisee mf. 250000 au 300000

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom