Mishahara ya september

Mishahara ya september

sem2708

JF-Expert Member
Joined
Nov 4, 2010
Posts
5,813
Reaction score
4,962
Wana JF,wenzangu leo ni tarehe 29,mshahara bado,tulizoea ni tahere 25. Ni nini kinaendelea? Je huko kwenu tayari ? Mimi nko wizara ya uchukuzi.
 
Dayamondi festi; employees baadaye. Wafanyakazi wa sekta ya umma mlie tu.
 
Wana JF,wenzangu leo ni tarehe 29,mshahara bado,tulizoea ni tahere 25. Ni nini kinaendelea? Je huko kwenu tayari ? Mimi nko wizara ya uchukuzi.

wengine tumesha sahau . mshahara wako hausiani na kampeni zinazoendelea.
 
Wana JF,wenzangu leo ni tarehe 29,mshahara bado,tulizoea ni tahere 25. Ni nini kinaendelea? Je huko kwenu tayari ? Mimi nko wizara ya uchukuzi.

Jamani em tuache siasa kwenye mambo kama haya ya msingi, kwani mshahara kimsingi unatakiwa kulipwa lini aisee, mi nadhani muda bado, ila sehemu nyingine walishapata hadi zishakwishnei
 
Hivi CCM imeshindwa kabisa kuilazimisha Serikali yao ipeleke mafao ya wastaafu pspf? Kazi ya chama ni nini?

Hao pspf sashivi wameshindwa kabisa, Ukiwapigia simu wanaweza wasipokee siku nzima, siku wakipokea unapewa majibu ya mkatao tu.
Na ukifanikiwa kuunganishwa na watu wa uhasibu, angalau wao ndio wanakupa majibu ya hali ilivyo kwenye file la mtu wenu. Kwamba hazina haijapeleka makato, ila unaweza kuwasiliana na CUSTOMER CARE MANAGER, yeye atajua namna ya kushughulikia madai yenu kwa haraka.

Tatizo sasa, ni namna ya kumpata huyo Customer Care Manager, mara uambiwe hayupo ofisini, mara uambiwe simu yake inaita tu bila majibu. Jamani tufanyeje sasa sisi watu wa huku mbali, na ndugu yetu ni mahututi? BACK TANZANIA
 
Jamani em tuache siasa kwenye mambo kama haya ya msingi, kwani mshahara kimsingi unatakiwa kulipwa lini aisee, mi nadhani muda bado, ila sehemu nyingine walishapata hadi zishakwishnei

Wamekuambia Tarehe 25 bado unauliza. Kama wewe sio wa payroll ya serikali waache wenyewe wajulishane kama suluba za CCM na serikali yake zinaendelea au la!
 
Unaambiwa fedha zipo Kwenye Campaign Kulipa wasanii Mbona Haulewi.
Hao watu wacha wale kibano, kwa kuwa wanapoambiwa Taifa linahitaji mabadiliko kwa sasa wao bado wanawang'ang'ania hao hao magamba wao.
 
hela tunatumia kuandaa mikutano ya bondia..
magari,wanamuziki,misosi,ofa za kuhamasisha mahudhurio ili tuwakaribie hawa jamaa...
 
Wana JF,wenzangu leo ni tarehe 29,mshahara bado,tulizoea ni tahere 25. Ni nini kinaendelea? Je huko kwenu tayari ? Mimi nko wizara ya uchukuzi.

Mishahara imetoka ki halmashauri.Sisi wa halmashauri kuu ya ukawa tumepata mishahara yetu toka tar 24.Vumilia ndugu tunadai mabadiliko kwa hiyo mshahara kutoka tare 30 badala ya tar 25 ni mabadiliko pia!!!!!
 
Mishahara inafanyiwa revision ndo maaana rais hajavunja baraza la mwaziri
 
Back
Top Bottom