Habari zenu, kwa kipindi kirefu sana kume kuwa na uhitaji mkubwa wa office attendants/assistants katika vituo vya mizani TANROAD. Kuna mahali niliona TRS 1.1 ndio mshahara wao bt sijui ni kiasi gani. Anayejua mishahara na posho zao atuambie jamani.
asante mkuu, bt tofauti ipo kubwa sana na wanao Fanya kazi wizarani kwa position hiyo hiyo ya office assistant kwa elimu ya form four. wanalipwa 256,000. (laki 2 na elfu 56.)
Du hiyo mishahara ya laki 3 labda kwa single boy aisee tena awe anakaa kijijini na sio mjini.....kwa mishahara hiyo ya serikalini ndio maana wizi unaongezeka.
Upo sahihi mkuu upande wa serikali juu bt wanatofautiana kutokana na kitengo.. mfano Tanzania Atomic Energy TAEC wanalipa POSS 4 = laki 4+... Tanroad wanalipa TRS 1.1