Mishahara ya office attendants/assistants TANROAD


fab280391

fab280391

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
123
Points
195
fab280391

fab280391

Senior Member
Joined Jul 29, 2015
123 195
Habari zenu, kwa kipindi kirefu sana kume kuwa na uhitaji mkubwa wa office attendants/assistants katika vituo vya mizani TANROAD. Kuna mahali niliona TRS 1.1 ndio mshahara wao bt sijui ni kiasi gani. Anayejua mishahara na posho zao atuambie jamani.
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,474
Points
2,000
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,474 2,000
laki saba na tisini kabla ya makato.
 
fab280391

fab280391

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
123
Points
195
fab280391

fab280391

Senior Member
Joined Jul 29, 2015
123 195
laki saba na tisini kabla ya makato.
asante mkuu, bt tofauti ipo kubwa sana na wanao Fanya kazi wizarani kwa position hiyo hiyo ya office assistant kwa elimu ya form four. wanalipwa 256,000. (laki 2 na elfu 56.)
 
K

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2014
Messages
1,342
Points
0
K

KAKA YAKO NAPITA

JF-Expert Member
Joined May 16, 2014
1,342 0
laki saba na tisini kabla ya makato.
Haiwezi kutokea labda pengine siyo Office attendant.Mim navofahamu walipa 345000/= kwa mwezi.
 
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2015
Messages
7,474
Points
2,000
tang'ana

tang'ana

JF-Expert Member
Joined Apr 3, 2015
7,474 2,000
Office attendant analipwa mshahara Wa TGOS A ambayo ni tshs 300000
hyo TGOS A ni kwa serikali kuu mkuu,huko kwenye mashirika ya umma nao wana viwango vyao vya mishahara.
 
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined
Oct 15, 2010
Messages
33,168
Points
2,000
King Kong III

King Kong III

JF-Expert Member
Joined Oct 15, 2010
33,168 2,000
Du hiyo mishahara ya laki 3 labda kwa single boy aisee tena awe anakaa kijijini na sio mjini.....kwa mishahara hiyo ya serikalini ndio maana wizi unaongezeka.
 
fab280391

fab280391

Senior Member
Joined
Jul 29, 2015
Messages
123
Points
195
fab280391

fab280391

Senior Member
Joined Jul 29, 2015
123 195
hyo TGOS A ni kwa serikali kuu mkuu,huko kwenye mashirika ya umma nao wana viwango vyao vya mishahara.
Upo sahihi mkuu upande wa serikali juu bt wanatofautiana kutokana na kitengo.. mfano Tanzania Atomic Energy TAEC wanalipa POSS 4 = laki 4+... Tanroad wanalipa TRS 1.1
 

Forum statistics

Threads 1,285,935
Members 494,834
Posts 30,879,477
Top