zee la weza
Senior Member
- Feb 7, 2012
- 190
- 29
Wadau mpaka sasa hivi huku mkoa wa njombe mishahara ya mwezi huu bado walimu hatujapata na hakuna taarifa zozote za kuchelewesha huo mshahara vipi pande zingine za nchi na sector nyingine?, pia vipi kuhusu ajira mpya za waalimu? Maana shule zetu hazina walimu wa kutosha.