PrN-kazi
JF-Expert Member
- Feb 5, 2011
- 2,900
- 445
.....mleta mada ana haki ya kutoa kile kilichoko rohoni mwake kwa vile ameguswa, sasa kuna aliyeuelewa wa hoja yake anaweza kujitokeza na kutoa ufafanuzi mzuri kuliko kumshambulia kwa maneno ya kejeli.
Ni kweli,mishahara inaonekana imechelewa karibia kwa Wafanyakazi wa sekta zote na si Walimu tu; kawaida mishahara inatoka kuanzia tarehe 25 ya kila mwezi, kwa vile hiyo tarehe ilikua ni Mapumziko(Maulid) inawezekana ndo ilichangia na mimi binafsi nilitarajia kufika tarehe 29 mishahara itakua tayari lakini cha kushangaza HAKUNA KITU, hapo sasa uhalali wa kuhoji ndo unapojitokeza
Kama mishahara ya Wafanyakazi imepelekwa Mtwara au Kasulu hilo litakua ni jambo lingine na litahitaji kutolewa ufafanuzi..