Simple lady
Member
- Dec 6, 2012
- 28
- 1
Habari wana jf,naombeni kujua mishahara ya hawa community development officers tpdc ni kiasi gani na vipi maswali wanayouliza?
Wanauliza uliapply au uliomba nafasi hiyo hapo TPDC?Habari wana jf,naombeni kujua mishahara ya hawa community development officers tpdc ni kiasi gani na vipi maswali wanayouliza?
Wanauliza uliapply au uliomba nafasi hiyo hapo TPDC?
nliomba na nmeitwa interview
nliomba na nmeitwa interview
jamani mbona hii homepage ya tpdc haifunguki toka tangazo la usaili litoke?
Fanya interview kwanza bi mkubwa, we unaongelea mishahara badala ya kujadili hiyo interview itakuwajeJamani mbona sijajibiw swali langu plz
Fanya interview kwanza bi mkubwa, we unaongelea mishahara badala ya kujadili hiyo interview itakuwaje
Habari wana jf,naombeni kujua mishahara ya hawa community development officers tpdc ni kiasi gani na vipi maswali wanayouliza?