mgonjamichael
Member
- Oct 31, 2015
- 66
- 15
Kumbuka huyo mwl unayetaka adanganywe ni huyohuyo aliyekufundisha kupenga kamac kukufundisha kusoma kuandika na kuhesabu ndomaana ssa unaringa achakujikweza covzrKadanganye walimu wa shule ya msingi
Dereva wa polisi ni polisi hiyo ni kazi yake kuendesha na kukamata
Mshahara ni mmoja Tu wa kazi yake ya upolisi huo udereva ni kitengo Tu labda kama kina posho
Walinifundisha ndiyoKumbuka huyo mwl unayetaka adanganywe ni huyohuyo aliyekufundisha kupenga kamac kukufundisha kusoma kuandika na kuhesabu ndomaana ssa unaringa achakujikweza covzr
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Walimu wengi ndo wanalishabikia hili, wana roho mbaya na tumishahara twao wanataka kila mtu awe na hali ngumu kama wao. Mshiiiiindweeee
Unakusanya mapato yako????? Basi traffic kwa sasa wangelipwa sawa na TRA...HAIWEZEKANI. WEWE UNAFANYA KAZI MAHAKAMA HUKO HUINGIZI MAPATO, KILA KITU UNATEGEMEA SERIKALI KUU HALAFU UNATAKA UWE NA MSHAHARA SAWA NA MTU WA TRA ANAYEKUSANYA MAPATO AU MTU NSSF ANAYEBUNI MIRADI YA UWEKEZAJI NA KUONGEZA MAPATO AU UFANANE NA MTU WA BoT ANAYEREGULATE UCHUMI. HAIWEZEKANI.
Pambana na hali yako ngumu ya maisha, wao ndo wameishatoka hivyo we kaa kulia na roho yako ya kwanini.Unakusanya mapato yako????? Basi traffic kwa sasa wangelipwa sawa na TRA...
Kwani muuza duka ela anatia mfukoni????na TRA wenyewe unakuta wengine kama si wengi ni wahujumu uchumi...mtu ana gari 15????!!! hiyo kodi yake au ya serikali?!
Hawa walitakiwa watimuliwe wote kama alivyofanya Mkapa waajiri vijana wapya waliopo kitaani...walizoiba zinatosha....
tatizo uelewa wakoSerikali imekosa mambo ya kufanya? Doctor hana likizo alingane na MWL? Kazi zmeisha za kufanya? Hakna mambo mengne kujadl bungen? TUMECHOKA NA POLOJO!
Tatizo la kukariri...umeshasameewaPambana na hali yako ngumu ya maisha, wao ndo wameishatoka hivyo we kaa kulia na roho yako ya kwanini.
Narudia tena, una hali ngumu sana ya maisha inayokufanya kuwa na roho mbaya na wivu na uchungu mkali kwa waliofanikiwa. Pambana na hali yako.Tatizo la kukariri...umeshasameewa
Mwisho wenu umekaribia...ongeza spidi na kumbuka kuweka akibaNarudia tena, una hali ngumu sana ya maisha inayokufanya kuwa na roho mbaya na wivu na uchungu mkali kwa waliofanikiwa. Pambana na hali yako.
Nakuona ushapata kazi sasa hata mwezi haujaisha unaanza na kututukana!!!Walimu wengi ndo wanalishabikia hili, wana roho mbaya na tumishahara twao wanataka kila mtu awe na hali ngumu kama wao. Mshiiiiindweeee