Ukiwa mkurugenzi TRA ulipwe 10m (mfano tu) ukiwa Wizarani ulipwe chini ya 4m..
Haileti maana ikiwa wote ni watumishi wa umma...
Mi naona powa tu...haiwezekani CEO wa kampuni iliyo chini ya Wizara ya Viwanda alipwe zaidi ya katibu mkuu wa Wizara...
Kama watashusha au watapandisha mshahara sijui, ila tofauti hizi zilikuwa hazileti maana....
Ndio unakuta mtu anafanya mipango aame toka taasisi moja kwenda nyingine na zote ni za umma...
Na hili linawezekana kama hawataacha kila taasisi (boards) kujipangia mishahara...mishahara ipangwe na hazina
As if ofisi moja ni muhimu zaidi ya nyingine...rank sawa mshahara sawa ndio solution...