Habarin wana jamvi,
Kwa wale walimu wa ajira mpya walioajiriwa mwez may 2015 kuna baadhi take home yao imepungua je ni heslb wameanza kuchukua chao au ndo serikal imeanza kubana matumizi.
Habarin wana jamvi,
Kwa wale walimu wa ajira mpya walioajiriwa mwez may 2015 kuna baadhi take home yao imepungua je ni heslb wameanza kuchukua chao au ndo serikal imeanza kubana matumizi.
Ni kweli Nina rafiki yangu yupo Arusha dc wa ajira mpya 2015 wameanza kumkata tangu mwezi uliopita!!ni HESLB hao wanamkata parefu kama. Tsh 58,000/=
Sijajua kila mtu atakatwa kutokana na scale ya percentage ya Mkopo aliokua anapata
Chuoni au ni vipi ila habari ndio hio...