na hakuna rangi mtaacha ona hapa tanzania,mtakula vumbi la chaki mpaka yesu arudi.wenzenu wahasibu,wachumi na wanasheria wanakula maisha kwenye ofisi zenye full viyoyozi.na hawawazi masuala ya mshahara kama nyie maticha.
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
Yani badala utufundishie wadogo zetu huko,umekaa kuwazia mshahara tu.kwanza ualimu ni wito,hata ukifanya kazi bure pasipo kulipwa chochote ni sawa tu.over
Ili kujua kama ni ndogo au kubwa, nakushauri usisahau kujumlisha makato kama; CWT, NSSF..., kodi, gharama za mchakato wa mshahara, kuna wanaokatwa gharama za mwenge, bima ya afya, mkopo wa HESLB (kwa wale walionufaika)n.k....
Yatupasa kutafakari upya maslahi ya watumishi wa umma nchini Tanzania.
poa kuandika sijui ww unaejua lakini haufahamu nini kilichokuwezesha kufika hapo ulipofika kama sio waalimu waliokutoa kwenye ujinga acha dharau ma friend jitambue!!!!!