Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Hivi mtaongezwa
Mishahara mwezi july kweri?
 
Jf watu wanabishana na mwisho wanatulia.
Mwaka jana walibishana mishahara ikaingia kama alivyoweka mtoa post.
Kuna waliopost kuhusu kuhusu kusitisha ajira watu walibisha sana mwisho wametulia.
 
Kupanda daraja ni Miaka Minne....Mmoja wa kwanza unachukuliwa kama upo kwenye uangaliizi.
kama mtu unapanda daraja kwa mara ya kwanza baada ya miaka mitatu(ule mmoja wa uangalizi umewekwa pembeni), vipi kuhusu madaraja yanayofuata, nayo yanahitaji miaka mitatu ili mtu apande kutoka daraja moja kwenda lingine?
 
Naomben anaejua yakwimu us walimu wanao ajiriwa mwaka huu wadau
 
mbona huuu ndo ulikuwa unalipwa 2015/2016
 
Naomba kujua wadau Walimu wa Arts hawataajiriwa mwaka huu maana sisi wa vijijini tunapata habari mbaya tu na je kuna ukweli wowote
 
Naomba kujua wadau Walimu wa Arts hawataajiriwa mwaka huu maana sisi wa vijijini tunapata habari mbaya tu na je kuna ukweli wowote
bado hakuna uhakika juu ya watu gani coz kila kiongoz anakuja nayake ila juz wamesema wanaajir watumish zaid ya elfu 70 ukiangalia idadi hii inachukua walimu wote wa arts na science pamoja na watumish wengine wa serikal
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…