Mishahara mipya ya walimu 2015/2016

Viwango hivyo vipo sahihi ila sina uhakika na Makato yake hilo ni ongezeko la Mwaka 2015/2016
 
Hapo kwenye cwt hadi uwe member
 
Hiyo mishahara ni kwa walimu wa halmashauri lakini kuna pia walimu wa shule za mashirika ya umma,hawa wapo vizuri zaidi.
 
Kwa vyovyote vile mishahara hii ni midogo sana.
Sipati picha mtu una take hme sh. Laki saba kwa mwezi,sawa na sh. Elfu ishirini na tatu kwa siku utamudu vipi kuish maisha ya kuridhisha.
Tujifunze kuwekeza katika vitega uchumi mishahara yetu,ili kuweza kuishi bila ukame wa kifedha.
Bila hivyo,maisha yatakuwa ya kubangaiza.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…