mimi niwahakikishie tu walimu wetu, kwa kuwa mshahara wa watu wa makampuni ya simu, kima cha chini ni sh 400,000/-? ninyi lazima itagusa hapo hapo au hata laki 5 kwa mwezi kima cha chini. Haiwezekani mshahara wenu uwe chini ya hapo kima cha chini? kwa hiyo wanosema 553000, ni waongo, 553000, labda ndio iwe kima cha chini au diploma, kwa vyovyote degree lazima apate 700,000 kuendelea, endeleeni kibisha
ova