Mishahara mipya na kodi

Mishahara mipya na kodi

prince onesmo

Member
Joined
Dec 29, 2012
Posts
27
Reaction score
3
Serikali inafikilia nini ivi kweli mishahara walioongeza inaendana na kodi wanazotoza nachoangalia hapa ni kuibua wizi na ujambazi ili kukidhi mahitaji
 
Wao uko bungeni wanalipana mamilioni bajeti yake kwa siku ni mishahara ya raia wawili kwa mwezi
 
Wewe siyo mzima eti bungei wanalipana mamilioni bungeni kumbe hata serikali huijui vizuri nani kakwambia kuwa bunge ni serikali kwa nini ukiwa bavicha na akili inakuwa ndogo?
 
Siku ukijua serikali inaundwa na nini utatambua kama kweli bunge ni sehemu ya serikali au sio....
 
Mh,hapa hata elimu ya uraia imepita kushoto, bahati mbaya Kiswahili nadhani hakina neno linalowakilisha Executive na badala yake Executive ambayo huundwa na Rais na baraza la mawaziri huitwa serikali. Kwa ujumla serikali inaundwa na vyombo vikuu vitatu, Executive, bunge na mahakama. Huyo anayesema kuwa bunge si serikali atakuwa kaelewa nadhani. Vinginevyo atakuwa wale wa FIV 2012.
 
Wewe siyo mzima eti bungei wanalipana mamilioni bungeni kumbe hata serikali huijui vizuri nani kakwambia kuwa bunge ni serikali kwa nini ukiwa bavicha na akili inakuwa ndogo?

Mkuu ulitaka kusemaje kwani?au ww naye upo bungeni?acha tuongee huo ndo ukweli kama imekugusa kaa pembeni ila kimtind mnaboa.Mnatuambia ya kwamba Kulipa KODI ni uzalendo kwa ajili ya maendeleo ya nchi huku hao wabunge wenyewe kodi hawakatwi.Hivi hao hawana uzalendo wa nch yao?au hawataki nch yao iendelee??
 
Wewe siyo mzima eti bungei wanalipana mamilioni bungeni kumbe hata serikali huijui vizuri nani kakwambia kuwa bunge ni serikali kwa nini ukiwa bavicha na akili inakuwa ndogo?

We ndo Mburula, umesomea wap ww? Kwamba hujui bunge ni mhimili mmojawapo wa Dola. Dola ni nin? C ni serikal ilyowekwa na watu kwaajil ya kuwaongoza.
 
Mh,hapa hata elimu ya uraia imepita kushoto, bahati mbaya Kiswahili nadhani hakina neno linalowakilisha Executive na badala yake Executive ambayo huundwa na Rais na baraza la mawaziri huitwa serikali. Kwa ujumla serikali inaundwa na vyombo vikuu vitatu, Executive, bunge na mahakama. Huyo anayesema kuwa bunge si serikali atakuwa kaelewa nadhani. Vinginevyo atakuwa wale wa FIV 2012.

mkuu naona umewapa somo la kutosha na umemaliza ubishi. watu wanajua bunge ni polis au kampun
 
Wewe siyo mzima eti bungei wanalipana mamilioni bungeni kumbe hata serikali huijui vizuri nani kakwambia kuwa bunge ni serikali kwa nini ukiwa bavicha na akili inakuwa ndogo?

Ndugu kama wewe unajua kuliko mwenzio la msingi ni kumuelimisha sio kutukana matusi mtu anaye tukana matusi hana busara hata chembe usipo mwomba radhi tutakuweka kwenye kundi la wasio na busara na hili jukwaa ni kwa watu wenye busara tu.
 
Kama waraka ungepatikana ingependeza zaidi. kwayeyote aliyenao atusaidie plz!
 
Wewe siyo mzima eti bungei wanalipana mamilioni bungeni kumbe hata serikali huijui vizuri nani kakwambia kuwa bunge ni serikali kwa nini ukiwa bavicha na akili inakuwa ndogo?
Kumbe kuna wehu wengi humu ndani, mtu hujui maana ya serikali unakaa kutoa povu tu hapa.
 
Ndugu kama wewe unajua kuliko mwenzio la msingi ni kumuelimisha sio kutukana matusi mtu anaye tukana matusi hana busara hata chembe usipo mwomba radhi tutakuweka kwenye kundi la wasio na busara na hili jukwaa ni kwa watu wenye busara tu.
Ndugu hawa waliopo humu kwa maslahi ya vyama inabidi uwavumilia tu maana ya kujadili kwa hoja wao ni matusi tu.
 
Mh,hapa hata elimu ya uraia imepita kushoto, bahati mbaya Kiswahili nadhani hakina neno linalowakilisha Executive na badala yake Executive ambayo huundwa na Rais na baraza la mawaziri huitwa serikali. Kwa ujumla serikali inaundwa na vyombo vikuu vitatu, Executive, bunge na mahakama. Huyo anayesema kuwa bunge si serikali atakuwa kaelewa nadhani. Vinginevyo atakuwa wale wa FIV 2012.

Unajua hata mimi nilitaka kumlaumu, ila nikawaza jinsi bunge letu linavyofanya kazi na maamuzi yake ya siku za hivi karibuni, inakua vigumu sana kuliona kama ni sehemu ya serikali.........huenda hilo limemtoa jamaa kukumbuka kwamba bunge ni serikali.
 
Nyongeza ya Mshahara ni ndogo sana. NIlikuwa nalipwa laki 8 2012/2013. Mshahara wa Mwezi wa Saba Wameongeza elfu 65. kwa hiyo 2013/2014 nitakuwa nalipwa mshahara mpya laki 8 na 65 elfu. Kodi (income tax nayo imeongezeka japo nilisikia inapungua). Sasa ni nyongeza gani au salary increment? Miongozo na nyaraka za kupandisha mishahara hatujaziona. Niko Central Governent.
 
Kaka inauma unafanya kazi unateseka unalipa kodi kila sehemu na sehemu zingine tunalipa mara 2 ila awalioni zen pesa zetu wanaonga watoto washule kunywa pombe na kutembelea kila aina ya magari
 
Back
Top Bottom