Mishahara juu kuelekea uchaguzi Mkuu

Mishahara juu kuelekea uchaguzi Mkuu

kasinge

JF-Expert Member
Joined
May 22, 2011
Posts
1,259
Reaction score
319
Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
 
Walimu mtajiju kwa baadhi watawala walisha sema mkitaka maslahi mazuri acheni kazi. Tutazamie gap kubwa kati ya walionacho na wasio nacho.
 
Unauliza hela zimetoka wapi wakati unaambiwa kodi ya mfanyakazi ni kubwa kuliko nchi yoyote africa mashariki na ni moja ya nchi zitozazo kodi kubwa ulimwenguni? Hujasikia kwamba deni la taifa sasa limefika trillions 39 nyingi zikiwa ni kuendeshea serikali ikiwa ni pamoja na mishahara? Hilo deni analipa nani ikiwa ccm wataendelea kubaki madarakani zaidi ya mfanyakazi ambaye anakatwa fedha atake asitake wakati mafisadi wakiwemo ccm wakikwepa kodi na kuhamishia fedha nje ya nchi?

Nyongeza ya mishara inasaidia nini katika mfumuko wa bei na promoko la shilling kwa kiasi kinachotisha huku watawala wakijigamba eti uchumi umekua.

Uchumi umekua huku 65% ya labor force iko mitaani na haitumiki inasubiri izeeke na kuwa less productive.

Tunaposubiri vijana wetu waishiwe nguvu, kuna miss allocation ya resources ya kutisha tanzania huku kukiwa na professional abuse na soko holela la ajira kutoka nchi za nje.

Wakati watawala wana brainwash watu kwa kuwadanganya watu kwamba wameleta mafanikio, kiasi cha kusababisha jamaa yangu jana ametundika shoka kwenye runinga yake baada ya kusikia jamaa mpumbavu mmoja anasema shilling imeporomoka kwa kuwa currency nyingi tu duniani zimeshuka dhidi ya dollar lakini si kwa sababu kuna uzembe.

Wakati anaktanusha habari za uzembe bila facts wala research, ni muda mfupi uliopita jamaa mmoja alikuwa amtoka kusema uzembe ni mkubwa mno kwenye foreign currency control na akatoa mifano mingi tu kwa kulinganisha na nchi zingine. Jamaa yangu alinyanyuka na aliporudi na shoka, ili kuwa ni kupasua screen. Hata hivo tulimwitia Dr.

Watanzania wangapi wako disappointed na serikali ya ccm japo wako serikalini? Huu ndio wakati wa kufanya maamuzi kabla hamjafa kwa pressure.

Watanzania msidanganywe na mumiani ccm. Mwezi wa kumi tunawapiga chini na hawatainuka tena hata wafanye nini. Wajiandae kurudisha mali zetu walizotuibia. Washn.zi wakubwa!.

Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
 
Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.
We naye unakuwa kama ni mgeni wa serikali hii?!!? mbwembwe zote hizo utakuta kuna increment ya 40,000/!!kwa maisha haya hiyo inakusaidia nini? kama c kuongeza uchonganishi tu kwenye familia, huko wazazi wanaona heading ya gazeti 'WAFANYAKAZI WAULA' MSHAHARA JUU!! wakijua laba kuna hela ya maana imeongezwa. Mi nakumbuka miaka ya 90,kwenye mwaka wa budget, mshahara ukionezwa kwa mzee, hata bila kuambiwa nyumbani mtaanza kuona changes tu, kwani pesa ilikuwa ni kidogo ila yenye thamani!! sasa leo pesa inashuka thamani kila siku, badala ya kutafuta ufumbuzi, wahusika wanaanza kuleta siasa, eti ugaidi nao ni chanzo, mala eti uchumi wa USA, Umeimarika,!! kwa wachumi hawa dollar itafika 5000!!
 
Aisee huuu ni uchonganishi tuu ni kuwaongezea wafanyakazi mazingira magumu kuanzia kwa wazazi, watoto, nyumba wanazopanga ndugu wake.

We naye unakuwa kama ni mgeni wa serikali hii?!!? mbwembwe zote hizo utakuta kuna increment ya 40,000/!!kwa maisha haya hiyo inakusaidia nini? kama c kuongeza uchonganishi tu kwenye familia, huko wazazi wanaona heading ya gazeti 'WAFANYAKAZI WAULA' MSHAHARA JUU!! wakijua laba kuna hela ya maana imeongezwa. Mi nakumbuka miaka ya 90,kwenye mwaka wa budget, mshahara ukionezwa kwa mzee, hata bila kuambiwa nyumbani mtaanza kuona changes tu, kwani pesa ilikuwa ni kidogo ila yenye thamani!! sasa leo pesa inashuka thamani kila siku, badala ya kutafuta ufumbuzi, wahusika wanaanza kuleta siasa, eti ugaidi nao ni chanzo, mala eti uchumi wa USA, Umeimarika,!! kwa wachumi hawa dollar itafika 5000!!
 
Watumishi hasa wa umma, huenda wakapata ka-landslide ya nyongeza ya mishahara yao. Hii ni kuelekea uchaguzi Mkuu mwakani. Mbona mwaka jana walisema serikari haina hela? Sasa zimetoka wapi? Au TRA wanakusanya sana baada ya kuanza kutumia mashine BVR mashines sorry, EFD machines? Wafanyakazi, msije mkadanganyika tena. Kama mnawapigia kura, isiwe kwa sababu ya landslide. Binafsi mimi ntawapigia.

Kwani wametangaza mshahara utaongezeka kwa asilimia ngapi?

Wenzetu Kenya wametangaziwa na Rais wao kuwa mshahara wa kima cha chini utaongezeka kwa asilimia 12. Kwa nini hapa kwetu wanafanya kiwango cha ongezeko siri?!
 
Kikwete alisema ataongeza mishahara ya kima cha chini hadi karibia na laki tatu na kumi na Tano

Hapo wenye akili tulijua siasa kwenye ubora wake, kawaida lazima itajwe asilimia sio makadirio.
 
Huo ni ujanja wa kiuchumi naawa cheza na akili zetu,iweje shilingi imeshuka haraka sana toka kwenye dola,wameishushs shilingi makusudi ili wafidie kwenye ongezeko LA MSHAHARA,ndiyo maana wakati bei za mafuta zinazidi kushuka kwa nchi za wenzetu,Tanzania mafuta yanapanda lisikilizie Jumatano ijayo.Hata waongeze mshahara lakini PURCHASING POWER ya shilingi haitaongezeka ngo badala yake itazidi kushuka
 
Kikwete alisema ataongeza mishahara ya kima cha chini hadi karibia na laki tatu na kumi na Tano

Hapo wenye akili tulijua siasa kwenye ubora wake, kawaida lazima itajwe asilimia sio makadirio.
Aisee kumbe na wewe ulimsikia? Alisema 'ikiwezekana' tunaweza kupandisha mpaka 315, akaongezea neno 'ikishindikana'. So nadhani ni changa la macho kwa wafanyakazi hasa walimu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom