D Metakelfin
JF-Expert Member
- Mar 23, 2017
- 3,728
- 4,181
Mkuu hizi zimekaa kimtizamo zaidi, si suala la wivu, mathalani mtu anajipangia kuwa hata kama pesa anayo si lazima anunue Mercedes, mwingine amelenga kuwa na nyumba kwanza kabla ya gari, sidhani hapa kunaweza kuwa na element za wivu.13.Kwani Mercedes ina miguu mitano, gari gari tuu
14.Siwezi nunua gari wakati sina nyumba
Wengine wanajidai kusema watajenga kwanza halafu kutwa kuomba lift kwa wenye magari na wakiachwa wanalalama.Mkuu hizi zimekaa kimtizamo zaidi, si suala la wivu, mathalani mtu anajipangia kuwa hata kama pesa anayo si lazima anunue Mercedes, mwingine amelenga kuwa na nyumba kwanza kabla ya gari, sidhani hapa kunaweza kuwa na element za wivu.
Asee, huyo atakuwa anajiriwadha kabla ya kupata pesa, hakuna mtu anapenda shida, japo enzi za arobaini na saba, tulikuwa na mjomba wetu nyamihela lakini alikuwa anakaa guest, Magari alikuwa na nayo na mapesa alikuwa nayo.Wengine wanajidai kusema watajenga kwanza halafu kutwa kuomba lift kwa wenye magari na wakiachwa wanalalama.
HUWEZI KUNIJIBU MIMI HIVYOMALAIKA WATAISH KAMA MASHETANI
WEWE SYO MZALENDO.
HUWEZ KUBOMOLEWA NYUMBA WAKAT UMENIPA KURA.
Utakua unaishi ikwiririNamba 5 na 7 vimenichekesha.
Ila kwa namba 14, siwezi kununua gari wakati sijajenga-Naunga hoja.
Kwani hoja imevunjikaNamba 5 na 7 vimenichekesha.
Ila kwa namba 14, siwezi kununua gari wakati sijajenga-Naunga hoja.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Bil 1 itapendezaMilion 900 itapendeza
Huwezi kunijibu mimi hivyo