Kama kufungwa kwa Lissu kunafanya ninufaike kama wanavyodai wamuachie ili nikose hayo manufaa -John Heche.
Kama CCM wanataka maridhiano basi wafanye na vyama 18 walivyosema vilishiriki uchaguzi, wanaifuata CHADEMA mno ifanye maridhiano kwa sababu hivyo ni vyama vya mfukoni unaweza kuviita vikaragosi- John Heche.
Mwenyekiti alianza kubadilika mara baada ya kutoka gerezani na kupitiliza moja ikulu - Tundu Lissu.
Abdul mama yako ni rais sio malkia na nchii hii sio ya kifalme- Tundu Lissu