misemo ya vijana wa kileo bwana.,

unamuhesabu meno mbuzi wa kupewa!!
 

Post hii inafanana na post fulani ilikuwa ikiitwa MISEMO KATIKA MAGARI na post nyingine iliitwa METHALI ZA SIKU HIZI. Fungua jf library utazikuta
 
mzaa mzaa mbuzi alimpanda mama ake...........................
 
full ile laanaaa
aina kwikwiii.....
kitu ng'adaaaaa......
kitu mchulundu,kitu shavu.....
mishemishe mitaa ya kati.......
deal ime jambaaa.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…