misemo ya vijana wa kileo bwana.,

Ukiona mwenzio akinyolewa, za kwako weka waves
 
Wasi wasi kama vile wewe ndo mbuzi wa shughuli.....tuliza boli bana.
 
Utaishia kunawa, kula huli!

Ukiona manyoya kaliwa!

Utamu wa pipi mate yako mwenyewe!

Ukitaka ubaya dai chako!

Utaishia kushika pembe, wakamuaji wengine!
 

c-r_a-p!
 
Kama kuoga usafi mbona taulo linachafuka?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…