misemo ya vijana wa kileo bwana.,

nziriye

JF-Expert Member
Joined
Jan 23, 2011
Posts
1,050
Reaction score
365
Jamani wapendwa nimekaa kijiweni na rafiki zangu na nimesikia misemo iliyonifurahisha hebu ione mwenyewe: -kusoma kuelewa kukesha mbwembwe. -si mbuyu peke yake hata msufi ulianza kama tembele. -kunya anye kuku ,akinya bata kaharisha.
-jino moko,mswaki wanini?
-nyoka hana kiuno ndo mana havai shanga.



yani jamani wana-thinka tuongeze na mingine.........
 

mwanamke sura,shepu hata kwa mchina ipo
 
eti wengne wanasema hv eti sikia :

-kuku kuku jogoo jina
 
Njaa Kustahimili, starehe gharama!
 
Pombe ni pombe tatizo kuyumba
 
Unene nyama tuu..hata kwenye sambusa zipo
 
Kiume pesa kudinda ugonjwa!
 
hata ukioga,harusini huendi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…