Misemo ya Ukimwi!

Misemo ya Ukimwi!

Vida1

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2019
Posts
538
Reaction score
1,539
Naanza na hii

- Ukimwi siku hizi ni kama hela tu kila mtu anadai hana.

- Ukimwi ulivyo kimya unaweza kudhani haupo.

- Mimba mnatoa Ukimwi je?

Endelezeni.
 
Upate ukimwi au usipate, utakufa tuu
Kweli kifo ni kifo tu mura. Ukimwi Mimi usintishe Wala Nini niache kutafuna papuchi kisa kukuogopa wewe? Who are you?
Unataka nizikimbie papuchi ujanani ili unikamate uzeeni? Nakula maisha Wala sijutiii mbwa wewe Ukimwi.
 
Sawa kabisa
IMG-20191129-WA0002.jpeg
 
Kweli kifo ni kifo tu mura. Ukimwi Mimi usintishe Wala Nini niache kutafuna papuchi kisa kukuogopa wewe? Who are you?
Unataka nizikimbie papuchi ujanani ili unikamate uzeeni? Nakula maisha Wala sijutiii mbwa wewe Ukimwi.

Tena mbwa koko
 
ARV zipo nyingi na watu wanaingiza pesa kupitia HIV...wewe endelea tu.
Kweli kifo ni kifo tu mura. Ukimwi Mimi usintishe Wala Nini niache kutafuna papuchi kisa kukuogopa wewe? Who are you?
Unataka nizikimbie papuchi ujanani ili unikamate uzeeni? Nakula maisha Wala sijutiii mbwa wewe Ukimwi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom