Misemo 'Swaga' za ofisini

mchemsho

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2011
Posts
3,230
Reaction score
936
Ni misemo ambayo huwa tunaelewana sisi tu wa ofisi moja, wa kuja huwezi kuelewa... Kwa mfano ukisikia kuratibu tunamaanisha ku-do , na wewe share swaga za ofisini kwenu tu enjoy pamoja..
 
Huko ofisi kwenu mnafanya kazi au mnaenda kuongea pumba?
 
'Hebu jibebe harafu jirete hapa'...
 
Inaonekana hiyo office ni ya kugegedana

no siyo hivyo, kwanza ni vijana tupu, pili we enjoy working so funny and work make it wonderful working everyday
 
duh... bahati nzuri nafanay kazi na wazee....
 
duh... bahati nzuri nafanay kazi na wazee....

aisee sisi tupo below 30, ofisi nzima ila saa za kazi ni kazi kweli, muda wa masikhara mbavu hadi zinauma...na enjoy sana working where i am nw
 
oya pusha kapita...tembeza kisheri,mwege aruki kijiji....zimua na potii.chaubani vipi....mix kali arifu.poa river side mishale
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…