Misemo iliyowahi kuvuma kitambo to date

Misemo iliyowahi kuvuma kitambo to date

Kipenseli

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2020
Posts
878
Reaction score
1,147
Uzi huu nimeuanzisha kwa ajili ya kukumbushana misemo mbali mbali ambayo ilizuka na kupotea katika Generation mbalimbali ambazo tumepitia , mpaka leo hii

Lengo ni kucapture kumbukumbu ya baadhi ya matukio, au viburudisho ambavyo tumewahi kuenjoy kwa wakati huo, Tunaita NOSTALGIA

Binafsi nakumbuka misemo kama UTAJIJU!!, MAMBO POA! SHEGA! FAGILIA! n.k

Twende Kazi....
 
Ushasikia "Duki Naa" ?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom