Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 7,224
- 6,283
Malori 100 ya misaada ya kibinadamu yakiwa yamebeba fomula ya watoto, unga, na vifaa vya matibabu yaliingia Gaza jana kupitia Kivuko cha Kerem Shalom.
Misaada kama hii ndiyo inawapa kiburi magaidi hao kuendelea na vita,kuwashikilia mateka na kuendelea kushikilia maiti zilizotekwa nyara toka Oct 07,2023.
Mpaka Israel itakapo acha ujinga huu wa kumlisha adui ndipo Itaweza kuwapata Mateka na maiti waliotekwa na Magaidi hao.