Misaada wa mawazo kwa anayejua

Misaada wa mawazo kwa anayejua

Mhafidhina255

New Member
Joined
May 24, 2021
Posts
3
Reaction score
1
Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
 
Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
Kule hamna kundi kubwa sana la watu kama huku kwingine lakin.

Ajira zake ni chache mno mfano kama ufundi mitambo wa meli kila meli ni mtu m1 hivi nafikiri alafu bado kuna kundi kubwa la watu waliosoma na bado hawaja pata ata hiyo ajira

Pia kusoma pale dim siyo kupata ajira ukimaliza inabidi ufanye tena Paper ya (TASAC) hivi uwe na vigezo vya kutambuliwa kimataifa.

Kama unataka kwenda kusoma huko siyo kitu kibaya lakn make sure una connections ya kutosha au kama unapenda sana soma omba mugu akusaidie kweny ajira sema ajira zake zipo limited sana na uwezi jiajiri .alakn wapo watakao sema kuna kozi pale za engineering zinaingiliana na engineering kama mechanical lakn ww uwez pata kaz
 
Habari wakuu nilikua naomba kujua ajira ya kozi zinazotolewa na chuo cha bandari kwenye soko ni marketable kwa sasa? Na ajira zake ni rahisi kupatikana au nako kumejaa tuu kama fani zingine
Wanakuja wahusika kukupa taarifa
 
Back
Top Bottom