Ile misaada ya kujitolea damu, pesa na vyakula kwenye nyumba za ibada na taasisi za dini na kupanda daladala na kula kwa nama ntilie kutoka kwa 4U Movement na TeamL na boss lao kubwa imeishia wapi?
Au shida za wanyonge zimeisha mpaka uchaguzi mkuu tena?
Ikiwa vipi tuitishe uchaguzi 2017 wananchi wafaidike na zawadi na misaada.
Tusaidieni wale wenye uelewa.
Au shida za wanyonge zimeisha mpaka uchaguzi mkuu tena?
Ikiwa vipi tuitishe uchaguzi 2017 wananchi wafaidike na zawadi na misaada.
Tusaidieni wale wenye uelewa.