Misa tanzania wailaumu serikali kwa kushindwa kulifungulia gazeti la mwanahalisi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Misa tanzania wailaumu serikali kwa kushindwa kulifungulia gazeti la mwanahalisi

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by kinyongo, Oct 28, 2012.

 1. k

  kinyongo Member

  #1
  Oct 28, 2012
  Joined: Oct 13, 2012
  Messages: 39
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Taasisi ya vyombo vya habari kusini Mwa Afrika Tawi la Tanzania(MISA TANZANIA) umeendelea kuonyesha masikitiko yake kwa Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kwa kushindwa kulifungulia gazeti la Mwanahalisi mpaka sasa pamoja na kuwa Ukweli umegundulika kuwa yaliyosemwa na Mwana Halisi ni ya kweli kabisa.

  source maasinda
   
 2. Smartboy

  Smartboy JF-Expert Member

  #2
  Oct 28, 2012
  Joined: Nov 12, 2010
  Messages: 1,110
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Duh, mie siku hizi sina gazeti la kusoma. Naona vichwa vya habari tu na matangazo ya kazi. Yaani nimelimiss mno.
   
 3. mtotowamjini

  mtotowamjini JF-Expert Member

  #3
  Oct 28, 2012
  Joined: Apr 23, 2012
  Messages: 4,540
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  mwanahalisi wanaandika habari za ukweli wanafungiwa....gazeti moja la kiislam linaandika habari za uchochezi na kukashfu dini zingine lakini halifungiwi mpaka leo....hiyo ndo serikali yetu
   
 4. M

  Mthuya JF-Expert Member

  #4
  Oct 28, 2012
  Joined: Jun 9, 2011
  Messages: 1,415
  Likes Received: 65
  Trophy Points: 145
  Wa TAnzania hatuna viongozi tuna kundi la wezi wanao jijali wao tu ,
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Oct 28, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,297
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Nimelimiss ili Gazeti yaani mpaka basi!
   
Loading...