Adui wa mtu ni mtu, mm kwahakika, nasema watoto wangu wote, wawe wandoa au nje ya ndoa, nawapa hakisawa hakuna mbwa wala kondoo wote ni wangu, naacha karatasi inayosema hata akija mwingine baada ya mm kufariki apewe haki sawa na wote, siko tayari kuona ubaguzi katika familia yangu. Kujibu swali lako, watoto wajulikane kabla au kwa DNA na wote wapewe haki sawa.