G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 906 Feb 22, 2012 #1 Hii kampuni ni ya nani? shareholders wake ni akina nani? Majibu yapo BRELA lakini kama mnavyojua website haifanyikazi. Wengine wanaiita Mirambo Ltd. Sijui lipi sahihi, kuna madudu!
Hii kampuni ni ya nani? shareholders wake ni akina nani? Majibu yapo BRELA lakini kama mnavyojua website haifanyikazi. Wengine wanaiita Mirambo Ltd. Sijui lipi sahihi, kuna madudu!
Kimbunga Platinum Member Joined Oct 4, 2007 Posts 14,977 Reaction score 10,075 Feb 22, 2012 #2 Nini? Kufikirika? Kusadikika? Mkuu ina nini hii kampuni?
G Game Theory JF-Expert Member Joined Sep 5, 2006 Posts 8,546 Reaction score 906 Feb 22, 2012 Thread starter #3 mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi kazi kwenu na wajinga ndio waliwao
mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi kazi kwenu na wajinga ndio waliwao
BONGOLALA JF-Expert Member Joined Sep 14, 2009 Posts 16,511 Reaction score 11,917 Feb 22, 2012 #4 Ya Rostam aziz! Mwenye Vodacom, Caspian, Shivacom, Ultimate security, Dowans, Pan african energy, Seacom na govt of tanzania
Ya Rostam aziz! Mwenye Vodacom, Caspian, Shivacom, Ultimate security, Dowans, Pan african energy, Seacom na govt of tanzania
Shine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2011 Posts 11,481 Reaction score 1,373 Feb 22, 2012 #5 Mh hapa mimi mgeni
Bumpkin Billionare JF-Expert Member Joined Jan 5, 2012 Posts 1,332 Reaction score 621 Feb 22, 2012 #6 Shaaban Robert9197 said: mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi kazi kwenu na wajinga ndio waliwao Click to expand... Hakuna binadamu anayefahamu kila kitu mkuu, kama kuna linalojiri tujuze na sio kutuita wajinga. Hao CHADEMA unaowasema ndio wametufumbua mambo mengi sasa unaposema tuwapuuze kisa tu hatujui Mirambo Holdings ni ya nani mimi sioni mantiki yake. Funguka mkuu
Shaaban Robert9197 said: mnaelewa kwa nini BRELA hawataki kuwa wazi Siasa za chadema vs CCM watu wamepoteza focus on mambo mazito zaidi kazi kwenu na wajinga ndio waliwao Click to expand... Hakuna binadamu anayefahamu kila kitu mkuu, kama kuna linalojiri tujuze na sio kutuita wajinga. Hao CHADEMA unaowasema ndio wametufumbua mambo mengi sasa unaposema tuwapuuze kisa tu hatujui Mirambo Holdings ni ya nani mimi sioni mantiki yake. Funguka mkuu