Miradi ya viwanja kigamboni Puna

Miradi ya viwanja kigamboni Puna

Bosspraise

Senior Member
Joined
Feb 10, 2020
Posts
134
Reaction score
124
Miradi mipya Kigamboni – Puna inapatikana kuanzia milioni 3 kwa kiwanja cha 20*20 meters, yaani sqm 400. Viwanja vinapatikana kuanzia ukubwa wa sqm 400 hadi 2000.

Puna Beach Plots Kigamboni ipo umbali wa km 38 kutoka Ferry, km 35 kutoka Daraja la Nyerere, mita 500 kutoka barabara kuu na mita 650 kutoka baharini.

Bei ni Tsh 18,000 kwa sqm (cash) au Tsh 20,000 kwa sqm (malipo ya miezi 6). Mradi huu upo karibu na bahari, una bei rafiki na mandhari nzuri kwa uwekezaji wa kitalii au makazi ya kifahari.

Puna Residential Plots Kigamboni ipo umbali wa mita 200 kutoka barabara kuu. Bei ni Tsh 10,000 kwa sqm (cash) au Tsh 13,000 kwa sqm (malipo ya miezi 6).

Kigamboni Puna Phase 2 viwanja vinauzwa Tsh 7,500 kwa sqm (cash) au Tsh 9,500 kwa sqm (malipo kwa awamu).

Viwanja vyetu vimepimwa na vipo karibu na huduma zote za kijamii ikiwemo shule, maji, umeme, barabara, makanisa na misikiti. Maeneo ni tambarare na salama kwa makazi.

Site visit hufanyika kila Jumatano, Jumamosi na Jumapili. Pia tunapokea maombi maalum ya site visit.

Wasiliana nasi sasa kupitia Call/WhatsApp: 0742 892 195.

Viwanja hivi vimepimwa rasmi na hati miliki hupatikana baada ya malipo. Vipo katika maeneo mazuri, tambarare na karibu na barabara kuu.

Screenshot_2025-09-03-16-53-25-544_com.whatsapp.w4b.jpg
 
View attachment 3463974
Watu hawapendi uwekezaji siku hizi watu wamepoteana. Habari kama hizi zamani wangechangamkia sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom