Miradi ya Serikali na Madeni

mzalendokweli

JF-Expert Member
Apr 21, 2012
579
250
serikali mara kadhaa imekua ikijitapa kua kuna mengi ambayo inayafanya na imekua ikitaja miradi kadhaa ku back up madai hayo. Hata hivyo,kila mradi unapokua unatajwa bas kwakiasi kikubwa unakua umefadhiliwa ama kwa mkopo ama kwa msaada kutoka nje. Sasa naomba wana JF tueke data za kila mradi ambao serikali inajitapa nao kwa kiasi gani wametumia rasilimali zetu kuutekeleza na kwa kiasi gan wamekopa;eg Daraja la Malagarasi,bomba la gas toka mtwara,viwanja vya ndege,nk.
Ni muhim ili tufike mahali tujue kama maendeleo Tanzania chini ya CCM ni yale ya kufanikiwa kupata msaada au mkopo na si ku manage rasilimali zetu na kujiendeleza na kueka kumbukumbu sawa pale wanapojitapa kua tumefanya hili na lile mana mkopo ni liability si asset..
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom