Herbalist Dr MziziMkavu
Platinum Member
- Feb 3, 2009
- 43,114
- 34,956
Unajuwa ukiweka Post kwa lugha ya kiingereza sio rahisi watu kuisoma au kuweka (like) kwa sababu Wabongo wengi hawajuwi Kusoma lugha ya kiingereza .Thanx boss! But kuna kitu hakiko sawa hapa! Ina maana toka 2013 ni like mbili tu na hakuna comments!!?? Haya ni maajabu ya kufungia mwaka asee daaah
Sawa mkuu ila kwa pale juu umeandika "cut with the skin" ukimaani ni pamoja na maganda yake na huku chini kwa kiswahili umeandika tuondoe maganda au namie nimechanganya mkuu maana hizi lugha zilizokuja na meli ni shida kweliUnajuwa ukiweka Post kwa lugha ya kiingereza sio rahisi watu kuisoma au kuweka (like) kwa sababu Wabongo wengi hawajuwi lugha ya kiingereza .
Nimemanisha kata maganda yake Kiazi mbatata kiondowe maganda yake yaani ukimenye kiwe safi.Sawa mkuu ila kwa pale juu umeandika "cut with the skin" ukimaani ni pamoja na maganda yake na huku chini kwa kiswahili umeandika tuondoe maganda au namie nimechanganya mkuu maana hizi lugha zilizokuja na meli ni shida kweli
Mkuu upo?? Aisee koo langu lina shida mda mrefu ss,,ni chronic wheezing inanisumbua nshatumia dawa za hospital zaid ya mara 3 inapona kwa mda wa wk kadhaa then inarud tena,,MIUJIZA YA KUNYWA JUISI YA TUNDA LA TUFAHA,KAROTI NA KIAZI MBATATA NI TIBA YA MARADHI MENGI TU.
Kunywa Juisi hii ya Kushangaza - Je, afya yako ina faida gani?
Hii juisi ukinywa inazuia kikomo cha ukuaji wa seli mbaya na kuzuia malezi ya seli mpya za malignant.
Inaimarisha mfumo wa kinga ya mwili
Juisi hii Huimarisha afya ya mapafu, figo, ini na kongosho.
Na Juisi Nzuri kwa macho ya uchovu na macho kuwa makavu.Juisi inayo safisha , kuondoa taka kutoka katika mwili na udhibiti kinga
Msaada kwa wale walio na maradhi ya mishipa ya pua na homa ya mara kwa mara.
Jiusi inaimarisha Afya ya Ngozi na kuifanya ngozi yako yenye kupendeza.
NAMA YA KUITENGENEZA HII JUISI FANYA HIVI:::
1 Tufaha la kijani
Karoti 1
Kiazi Mbatata 1
Safisha Kiazi mbatata na ukimenye na uondoe maganda yake. Na Tunda la Tufaha piia kata vipande vidogo, uondoe mbegu zake na pamoja ganda lake la nje.
Safisha kwa maji ukate Karoti vipande vipande
Weka kila kitu katika Mashine ya blender tia maji glasi 1 saga pamoja kisha saga .
Koroga na kunywa mara moja
Kinywaji cha ajabu - Wakati wa kunywa?
Ni vizuri kunywa mapema asubuhi kabla ya kula kitu. kisha kaa kwa muda wa saa 1 bila ya kula kitu..
kunywa kila siku mara 2 kwa siku, Asubuhi kabla ya kifungua kinywa na kabla ya chakula cha jioni hakikisha unakunywa hii juisi kabla ya kula kitu. Tumia kila siku.
Ninawatakieni Afya njema.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili Herbalist mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Herbalist MziziMkavu
View attachment 952568
Tafuta Asali safi mbichi ya nyuki isiyo chakuchuliwa Tia kijiko 1 cha Asali ndani ya kikombe 1 cha maji ya moto koroga vizuri unywe asubhi kabla ya kula kitu na usiku kila siku utaweza kupona tumia hiyo dawa kwa siku 90. Ukitaka kupona kwa haraka nitafute kwa wakati wako.Mkuu upo?? Aisee koo langu lina shida mda mrefu ss,,ni chronic wheezing inanisumbua nshatumia dawa za hospital zaid ya mara 3 inapona kwa mda wa wk kadhaa then inarud tena,,
Msaada wako mkuu
Ukitaka kupona nguvu za kiume Funga siku 90 utapona na kuwa na nguvu za kiume vizuriMi nikajua unaponyesha nguvu za ........
.Ukitaka kupona nguvu za kiume Funga siku 90 utapona na kuwa na nguvu za kiume vizuri