Hizi ni rasha rasha tu.
Bado watu hawajaelezwa jinsi Meli ya KINANA katibu mkuu wa ccm inavotorosha meno ya Tembo wa Tanzania
Bado watu hawajaelezwa vizuri majambazi yaliyoficha mabilion uswis, watanzania wanakufa njaa na kukosa matibabu bora
Bado watu hajaelewa vemajinsi CCM ilivokwiba fedha za walalahoi kupitia Kagoda na EPA
.
.
.
.
Baada ya watanzania kufaham kwa ufasaha jinsi ccm inavoliangamiza taifa na kwamba umasikini na mgawanyiko wa kidin, ni matokeo ya utawala mbovu wa kifisad wa ccm basi tutashuhudia ccm ikiporomoka kama nyumba ya mchanga.