Mipasho kutoka channel 10 muda huu

Marudio channel 10 naona mipasho kwa zanzibar katika je tutafika?
Huyu mzee makwaia ni wa hovyo sana. Maswali yake km Ana shida ya akili, hata wanazi wenzie anawachosha, maswali km hadithi huku anashindana na waalikwa kuongea. Leo kajisema, Eti wa jamaa wanachekwa mitaani.
 
Yule mzee nikimuona huwa naona kama tuko kijini vile...

Hahahahahaha..... Makwaia
 
Hivi makwaiya aliathirika na nini kwenye ubongo wake? Ashakum si matusi ila huwa namwona kama taahira hivi. Mara ya mwisho mi kumwangalia ilikuwa miaka kama 8 iliyopita nlishangaa huyu mzee bozo anapewaje airtime? Anacheka cheka tu kwa kujitekenya mwenyewe na anahoji au anaongelea hoja akiwa anaonesha ni mkereketwa sana. I wonder alikosa hata ukuu wa mtaa...ilikuaje?ina maana nao wanamwona ni kama taahira hivyo hivyo pamoja na kuwa ni mpambe wao?
 
Hiyo ilikuwa ni miaka 8 nyuma, saivi huo uchizi ni twice as much!! Hawa mie huwa nawaita WAZEE JAU.
 
Huyu mzee makwaia ni wa hovyo sana. Maswali yake km Ana shida ya akili, hata wanazi wenzie anawachosha, maswali km hadithi huku anashindana na waalikwa kuongea. Leo kajisema, Eti wa jamaa wanachekwa mitaani.
Hivi huyu mzee sio mzanzibar?
 
Back
Top Bottom