Ooh okay....basi una chembechembe za hao ndugu zetu.Mkuu,
Kwa nini unasema hivyo?
Mimi si Muhaya. Ila hata nikiwa Muhaya si hatari, Wahaya ni ndugu zangu poa tu. Na ukabila kama alivyosema Nyerere umebaki kwenye kutambika tu dunia ya leo.
Ila kuna sehemu nilikiwa nafanya kazi Dar, Secretary mmoja alipojua kabila langu akaniambia "mimi siku zote nilikuwa najua wewe ni Muhaya...".
Nafikiri ni kwa sababu ya Kiingereza.
Apparently mtu ukiongea Kiingereza kwa kujiamini mpaka leo Watanzania wengi wanajua wewe Mhaya.
Hapana,Ooh okay....basi una chembechembe za hao ndugu zetu.
Sema hao jamaa wanapenda sifa na status fulani.....mfano apo uliposema "ulimwalika professor kutoka chuo fulani"......palikuwa hapana ulazima sana,ingetosha kusema ulimwalika mtu au jamaa ili kuficha code au kabila lako...ahahahaa
Hivi,ubaya uko wapi mtu akitaniwa?! Anaandika kwa bundle lake,anaenda kwa gharama zake, kisa kumtania tu,mchukulie kama nimepinga uamuzi wake! Wala!Mtu kaomba ushauri,unampangia namna ya kuishi..Bora ungepita tu,dunia ina nchi 200+ ila yeye kachagua USA kwann umpangie?Naenda ww huko unapotaka ww
Kama umemtania, hata utani nao hujui.Hivi,ubaya uko wapi mtu akitaniwa?! Anaandika kwa bundle lake,anaenda kwa gharama zake, kisa kumtania tu,mchukulie kama nimepinga uamuzi wake! Wala!
Hakika wabongo tuna penda sana status,yaani tunapenda kuitwa Prof.. Doct..Eng..CPA..n.k au kuonekana tupo karibu na hao watu..Point yangu haikuwa ku brag kwamba nimemualika Profesa wa UDSM. Uprofesa ni kitu chabkawaida sana na UDSM wala haipo katika rankings za dunia. Ingawa hata nikiamua ku brag hivyo ni haki yangu, kwa sababu nilimualika kweli. What's wrong with saying so if it's true?
Mshamba tu huyo achana nae, sisi wa Tz tuna ujinga flani wa kuwaza negative tuu, na hii inachangiwa na umaskini. Hata kitaa unakuta unaishi maisha yako wanaanza vimaneno uchwara anajidai, anapenda show off ilimradi tu.Hapana,
Hizo fikra zako ni fikra za fake modesty na unyonge unyonge fulani, usiri usiri fulani usio na tija wala ulazima. Maisha ya kupangiana pangiana cha kusema bila hata kujuana. Maisha ya jealous people.
Ni fikra za jamii za watu wachawi wachawi, waoga waoga, ambazo mimi nishapita huko.
Fikra zangu ni za uwazi zaidi.
Yani ni za kuniwezesha hata kukutana na huyo Profesa hapa akasoma code akanijia halafu akafurahia kukutana nami hapa.
Kwa hivyo, tuna falsafa tofauti za maisha.
Wewe una falsafa za inferiority complex. Ukimsikia mtu anaelezea experience yake, ya kawaida tu, unaona anajigamba.
Kwa sababu wewe ni masikini sana, ninaposema masikini sana, simaanishi masikini wa mali tu, wewe ni masikini hata wa mawazo.
Yani ni mchoyo wa fadhila hata kimawazo tu, umeshindwa kunipa "the benefit of the doubt" kwamba, labda, labda, huyu mtu alivyotaja "Profesa wa UDSM" alikuwa ana point hapa, point yake nini? Labda alimaanisha kutoa mizani kwamba Ubalozi wa Marekani unasumbua sana, kiasi kwamba, hata mtu ambaye sehemu nyingine anaweza kuwahishwa kwa kuheshimiwa, mtu kama Profesa wa UDSM, alivyofika Ubalozi wa Marekani hajafagiliwa wala nini, kawa processed kama mtu wa kawaida tu.
Point yangu haikuwa ku brag kwamba nimemualika Profesa wa UDSM. Uprofesa ni kitu chabkawaida sana na UDSM wala haipo katika rankings za dunia. Ingawa hata nikiamua ku brag hivyo ni haki yangu, kwa sababu nilimualika kweli. What's wrong with saying so if it's true?
Point yangu ilikuwa kuonesha humility kwamba Ubalozi wa Marekani TZ hata ukiwa Profesa wa UDSM hawakufagilii, unawekwa kwenye mstari kama mtu mwingine tu.
Ila, wewe kwa akili yako ya inferiority complex ya kibongobongo, hukuweza kuona hilo.
Wabongo mna visa sana
Nyuzi kama hizi watu wengi walio nje wanaziona wanazichunia tu. Kwa sababu ya vimajungu majungu na vi inferiority complex kama hivi.
Halafu tunakuja watu tunafunguka kwa roho safi tu, tukitaka kusaidiana, mnakuja kuwa prove right watu wanaouchuna.
Acheni majungu ya kijinga.
Mimi nikiamua kujigamba sijigambi kwenye thread ya mtu.
Naanzisha thread yangu.
Halafu sijigambi kirahisirahisi.
Najigamba kwa vina na mizani
Nakutoa lindi la kina kinzani kizani
Najigamba kwa stanza
Kaa kwanza, sikiliza rhymes kaa Kwanza
Unit, unique
Dar Mwanza, nikipita mtaani utajibanza
Oysterbay Guba Chaza
Nishapanda bei faza
Hunishiki, acha kuendekeza dhiki
Huu muziki, stereo hauhitaji kiki
Shall I continue...?
Wazungu wapi unao waongelea wewee?? Hizo title hapo umeandika kwa lugha gani?Hakika wabongo tuna penda sana status,yaani tunapenda kuitwa Prof.. Doct..Eng..CPA..n.k au kuonekana tupo karibu na hao watu..
Huna tofauti na wale chawa wanamuita mama...Dr sa100
Kwa wazungu huo ni ushamba,ndo mana hawafikiri hzo vitu....so kunyimwa au kucheleweshewa huduma haina uhusiano wowote na uprofes wake.
Samahani mkuu.....mimi ni maskini ila si mshamba kama wewe
Ndo umeamkaa mkuu...Wazungu wapi unao waongelea wewee?? Hizo title hapo umeandika kwa lugha gani?
Usichoelewa ni kipi?Hakika wabongo tuna penda sana status,yaani tunapenda kuitwa Prof.. Doct..Eng..CPA..n.k au kuonekana tupo karibu na hao watu..
Huna tofauti na wale chawa wanamuita mama...Dr sa100
Kwa wazungu huo ni ushamba,ndo mana hawafikiri hzo vitu....so kunyimwa au kucheleweshewa huduma haina uhusiano wowote na uprofes wake.
Samahani mkuu.....mimi ni maskini ila si mshamba kama wewe
that's my brother legend Kiranga 😍Hapana,
Hizo fikra zako ni fikra za fake modesty na unyonge unyonge fulani, usiri usiri fulani usio na tija wala ulazima. Maisha ya kupangiana pangiana cha kusema bila hata kujuana. Maisha ya jealous people.
Ni fikra za jamii za watu wachawi wachawi, waoga waoga, ambazo mimi nishapita huko.
Fikra zangu ni za uwazi zaidi.
Yani ni za kuniwezesha hata kukutana na huyo Profesa hapa akasoma code akanijia halafu akafurahia kukutana nami hapa.
Kwa hivyo, tuna falsafa tofauti za maisha.
Wewe una falsafa za inferiority complex. Ukimsikia mtu anaelezea experience yake, ya kawaida tu, unaona anajigamba.
Kwa sababu wewe ni masikini sana, ninaposema masikini sana, simaanishi masikini wa mali tu, wewe ni masikini hata wa mawazo.
Yani ni mchoyo wa fadhila hata kimawazo tu, umeshindwa kunipa "the benefit of the doubt" kwamba, labda, labda, huyu mtu alivyotaja "Profesa wa UDSM" alikuwa ana point hapa, point yake nini? Labda alimaanisha kutoa mizani kwamba Ubalozi wa Marekani unasumbua sana, kiasi kwamba, hata mtu ambaye sehemu nyingine anaweza kuwahishwa kwa kuheshimiwa, mtu kama Profesa wa UDSM, alivyofika Ubalozi wa Marekani hajafagiliwa wala nini, kawa processed kama mtu wa kawaida tu.
Point yangu haikuwa ku brag kwamba nimemualika Profesa wa UDSM. Uprofesa ni kitu chabkawaida sana na UDSM wala haipo katika rankings za dunia. Ingawa hata nikiamua ku brag hivyo ni haki yangu, kwa sababu nilimualika kweli. What's wrong with saying so if it's true?
Point yangu ilikuwa kuonesha humility kwamba Ubalozi wa Marekani TZ hata ukiwa Profesa wa UDSM hawakufagilii, unawekwa kwenye mstari kama mtu mwingine tu.
Ila, wewe kwa akili yako ya inferiority complex ya kibongobongo, hukuweza kuona hilo.
Wabongo mna visa sana
Nyuzi kama hizi watu wengi walio nje wanaziona wanazichunia tu. Kwa sababu ya vimajungu majungu na vi inferiority complex kama hivi.
Halafu tunakuja watu tunafunguka kwa roho safi tu, tukitaka kusaidiana, mnakuja kuwa prove right watu wanaouchuna.
Acheni majungu ya kijinga.
Mimi nikiamua kujigamba sijigambi kwenye thread ya mtu.
Naanzisha thread yangu.
Halafu sijigambi kirahisirahisi.
Najigamba kwa vina na mizani
Nakutoa lindi la kina kinzani kizani
Najigamba kwa stanza
Kaa kwanza, sikiliza rhymes kaa Kwanza
Unit, unique
Dar Mwanza, nikipita mtaani utajibanza
Oysterbay Guba Chaza
Nishapanda bei faza
Hunishiki, acha kuendekeza dhiki
Huu muziki, stereo hauhitaji kiki
Shall I continue...?
Kwanini unawashambulia wahaya mkuu? Kuwa positiveNdo umeamkaa mkuu...
Upo sahihi mtumishithat's my brother legend Kiranga 😍
Madini matupu
Watz wote tungekua na mindset ka yako tungekua taifa tajiri na civilised.
Sasa ukanyage US halafu urudi utapata faida gani?
Watu wana vijiba vyao vya roho, wamepigwa na maisha kivyao, halafu, wakikukuta mtu unafunguka mambo fulani kiroho safi tu, tena mambo ya kawaida saana maisha haya kwako, hata hutegemei kupata wivu, wana project matatizo yao ya kisaikolojia kwako.Mshamba tu huyo achana nae, sisi wa Tz tuna ujinga flani wa kuwaza negative tuu, na hii inachangiwa na umaskini. Hata kitaa unakuta unaishi maisha yako wanaanza vimaneno uchwara anajidai, anapenda show off ilimradi tu.
Hata Mimi hii imenishinda, siwezi kuacha kuishi nnavyotaka kisa mjinga mwingine na shida zake ananiongelea negative, wabongo wana inferiority complex kiasili tuu hii ni kutokana na exposure ndogo, kipato duni, wivu na chuki, na hawapendi kujifunza kwa mtu aliyewazidi. Sisi wa Africa maisha yetu ni magumu kuanzia hata kwenye kuishi na jamii, kila muda uwe unawaza nikifanya hivi watajisikiaje, itakuaje, Umaskini ni mbaya sanaa.Watu wana vijiba vyao vya roho, wamepigwa na maisha kivyao, halafu, wakikukuta mtu unafunguka mambo fulani kiroho safi tu, tena mambo ya kawaida saana maisha haya kwako, hata hutegemei kupata wivu, wana project matatizo yao ya kisaikolojia kwako.
Yani eti mtu uanze kujichungachunga kila utakachosema ili usionekane unatamba, usionekane unaringa.
Ujinga gani huo? Siwezi mimi.
Asante mkuu.that's my brother legend Kiranga 😍
Madini matupu
Watz wote tungekua na mindset ka yako tungekua taifa tajiri na civilised.
Mkuu umepiga mulemule yani ninakuelewa sana.Hata Mimi hii imenishinda, siwezi kuacha kuishi nnavyotaka kisa mjinga mwingine na shida zake ananiongelea negative, wabongo wana inferiority complex kiasili tuu hii ni kutokana na exposure ndogo, kipato duni, wivu na chuki, na hawapendi kujifunza kwa mtu aliyewazidi. Sisi wa Africa maisha yetu ni magumu kuanzia hata kwenye kuishi na jamii, kila muda uwe unawaza nikifanya hivi watajisikiaje, itakuaje, Umaskini ni mbaya sanaa.
Temana na wajina bro, ujinga unaambukiza.Mkuu umepiga mulemule yani ninakuelewa sana.
Sina hata cha kuongeza hapa.