Godwin peter
JF-Expert Member
- May 12, 2019
- 374
- 638
Marinda
Habari za humu wadau,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani…sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi…sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia.
Unataka kwenda jimbo gani na utakaa siku ngapi?
Ughali wa maisha unatofautiana kati ya states za US.
Andaa kama 15-20M hiv
Habari za humu wadau,mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani…sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi…sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia.
Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.
Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.
Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?
Sasa ukanyage US halafu urudi utapata faida gani?
Unafanya kazi gani hapa bongo?
Una mtu US?
Una passport?
Vipi kapato chako unaweza fikia dola5000, kwa account?
Unataka kwenda kama mtalii au kwa mwaliko wa ndugu...?
Kikwazo kikubwa ni kuuthibitishia ubalozi kwamba unakwenda kutalii kwa muda na utarudi kwenu. Kutimiza vigezo vyao vya kukupa visa.Habari za humu wadau,
Mimi ni kijana wa kitanzania mwenye ndoto ya kufika marekani.
Sasa mwisho mwa mwaka 2024 ninaplan nikipata likizo niende japo nikanyage tu nirudi.
Sasa niweze kusave kiasi gani cha pesa mpaka kufikia muda huo niweze ingia kwa Biden na hatimaye ndoto yangu kutimia?
Kikwazo kikubwa ni kuuthibitishia ubalozi kwamba unakwenda kutalii kwa muda na utarudi kwenu. Kutimiza vigezo vyao vya kukupa visa.
Inabidi uoneshe ties hapo nyumbani, kazi, biashara, mali zisizohamishika. Bank statements, barua za kazini etc.
Bila kutimiza vigezo na kupata visa, gharama haziwezi hata kuwa na umuhimu kwa sababu hutakuwa na kibali cha kuingia Marekani.
Kuhusu gharama, inategemea unakwenda Marekani sehemu gani na ukifika Marekani utataka kuzunguka sehemu gani, unataka kufanya nini, etc.
Ila, kwa likizo standard ya wiki mbili, uwe na uhakika wa angalau $7,000.
Unaweza pia kupunguza gharama sana kwa kuongea na wenyeji wakakuonesha njia za kuangalia miji bila kutumia gharama kubwa, kwa mfano, kama ukipata mwenyeji anayeweza kukupokea ukawa naye badala ya kukaa hotelini.
Nimeajiriwa kwenye moja ya big Audit firm hapa bongo.Sina mtu ila naweza tafuta.Kuhusu passport kwa sasa sina ila kuipata sio kazi.
Kipato changu kufikia hiyo hela kwenye account hapana ila naweza kusave kwa mwaka hiyo hela ilafika
Watu masikini bhana mna mambo sana 😂Sasa ukanyage US halafu urudi utapata faida gani?
Bila kujumuisha gharama zozote zile zinazohusu Passport,viza na hela utakazokua nazo kwenye account yako ya Benki,Wiki mbili,jimbo lolote as itakuwa ni US